swc_act_text_reg_Uncomplete/13/01.txt

1 line
403 B
Plaintext

\c 13 \v 1 Sasa ndani la kanisa ya Antiokia, mulikuwa ma nabii na walimu. Walikiwa Barnaba, Simeoni (anaitua Nigeri). Lukio wa Kirene, Manaeni alikomalishua pamoja Heroda kiongozi wa mpoa na Saulo. \v 2 Wakati walikuwa na abudu bwana na kufunga chakula, roho mtukatifu akasema,muniwekee pembeni Barnaba na Saulo wa janye kazi niliyo waitia. \v 3 Kishaa mafungo na kuomba, na kuwekeya mikano waka watuma.