\v 18 Kumbi nusu ya Filazafia ya mugini Epikuria na Sitodia baka mugombanisha, ba moja bakisema "iko na sema nini?" ina onekana kama " iko na ubiri Mungu mugeni". juu iko na ubiri neno la Yesu na ufufuko.