swc_act_text_reg_Uncomplete/17/10.txt

1 line
366 B
Plaintext

\v 10 Kuile busiku bandugu balibatuma Paulo na Sila bende Beree, walikati balifika bali ingia kunshirika ya bayuda. \v 11 Balikuwa na utafauti na ba uya ya Tesalokika juu balikuw pokea neno la Mungu na uchunguzi sana juu ya kujuwa kila siku kama enye bana baubiri iko kweli. \v 12 Joo maaana ba Greke mingi bali amini pamoja na wa mama waheshimiwa pia ba baba mingi.