swc_act_text_reg/16/25.txt

1 line
317 B
Plaintext

\v 25 Na katikati ya usiku, Paulo na Sila walikuwa wakimwomba Mungu na kumwimbia nyimbo za sifa, nao wafungwa wengine walikuwa wakiwasikiliza. \v 26 Kwa rafla kukatokea tetemeko kubwa la inchi hata misingi ya nyumba ya kifungo ikatikisika. Na pale pale milango yote ikafunguka na minyororo ya wafungwa wote ikakatika.