1 line
390 B
Plaintext
1 line
390 B
Plaintext
\v 22 Basi kundi la watu waliokuwa pale wakawashambulia Paulo na Sila, nao watawala wakaamuru wawavue nguo kwa kinguvu na kuwapiga fimbo. \v 23 Walipokwisha kuwapiga sana, wakawatia ndani ya kifungo na kumwagiza mulinzi wa kifungo awachunge kabisa. \v 24 Na kufuatana na agizo lile, akawatia katika chumba cha ndani kabisa na kuwafungia miguu juu ya vipande vya miti kusudi ibaki imepanuka. |