\v 59 Wakati walikuwa wanamulaani vibaya Stefano akapiga magoti na akalalamika kumuita Bwana akisema. Bwana Yesu pokea roho yangu. \v 60 Akapiga magoti, akalia kwa sauti kali. Bwana uwasema zambi zao. Kiisha akalala (kukata roho).