Mon Oct 12 2020 13:31:11 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-12 13:31:11 +01:00
parent d6b2add22e
commit eb50611f46
3 changed files with 3 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v34 Liwali akasoma barua ile na kumwuliza Paulo: “Wewe ni mtu wa jimbo gani?” Aliposikia kwamba yeye ni mtu wa jimbo la Kilikia, \v35 akamwambia: “Nitakusambisha wakati wale wanaokushitaki watakapofika.» Kisha akaamuru Paulo alindwe katika nyumba ya kifalme ya Herode.
\v 34 Liwali akasoma barua ile na kumwuliza Paulo: “Wewe ni mtu wa jimbo gani?” Aliposikia kwamba yeye ni mtu wa jimbo la Kilikia, \v 35 akamwambia: «Nitakusambisha wakati wale wanaokushitaki watakapofika.» Kisha akaamuru Paulo alindwe katika nyumba ya kifalme ya Herode.

1
27/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 27 1 Walipokwisha kukamata mupango wa kutusafirisha kwa njia ya chombo mpaka Italia, wakamuweka Paulo na wafungwa wengine chini ya uangalizi wa mkubwa mmoja wa waaskari aliyeitwa Yulio. Yeye alikuwa wa kundi la waaskari lililoitwa Kundi la waaskari wa mfalme. 2 Tukapanda ndani ya chombo kilichotoka Adramiti, kilichokuwa tayari kupitia kwenye vivuko vya jimbo la Azia. Halafu tukaondoka tukiwa pamoja na mwanainchi mmoja wa Makedonia aliyeitwa Aristarko, wa Tesalonika.

View File

@ -398,6 +398,7 @@
"23-25",
"23-28",
"23-31",
"23-34",
"24-title",
"24-01",
"24-04",