Mon Oct 12 2020 13:29:11 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-12 13:29:11 +01:00
parent d5e414747c
commit d6b2add22e
5 changed files with 7 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v25 Naye akaandika barua hii: 26 “Mimi Klaudio Lusia, ninakuandikia wewe muheshimiwa Liwali Feliki, pokea salamu zangu. 27 Wayuda walikuwa wamemukamata mtu huyu na kutaka kumwua. Nami nilipopata habari kwamba yeye ni mwanainchi wa Roma, nikaenda na kundi la waaskari na kumwokoa. \v 25 Naye akaandika barua hii: \v 26 “Mimi Klaudio Lusia, ninakuandikia wewe muheshimiwa Liwali Feliki, pokea salamu zangu. \v 27 Wayuda walikuwa wamemukamata mtu huyu na kutaka kumwua. Nami nilipopata habari kwamba yeye ni mwanainchi wa Roma, nikaenda na kundi la waaskari na kumwokoa.

1
23/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Na kwa kuwa nilitaka kujua sababu gani Wayuda walimushitaki, nikamufikisha mbele ya Baraza yao Kubwa. \v 29 Nikatambua kwamba wamemushitaki juu ya ubishi wenye kuelekea Sheria yao, lakini hakutenda kosa lolote linalomupasa kuuawa wala kufungwa. \v 30 Na wakati nilipopata habari kwamba Wayuda wanafanya shauri la kumwua, mara moja nikakusudia kumutuma kwako, nami nimewaagiza watu wanaomushitaki walete mashitaki yao kwako.”

1
23/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Basi wale waaskari wakafanya kama vile walivyoamuriwa. Wakamutwaa Paulo, na usiku ule ule wakamufikisha mpaka Antipatiri. \v 32 Kesho yake waaskari waliotembea kwa miguu wakarudi Yerusalema kwenye upango wa waaskari. Wakawaacha waaskari wapanda-farasi waendelee pamoja na Paulo. \v 33 Nao walipofika Kaisaria, wakamupa liwali ile barua na kumuleta Paulo kwake.

1
23/34.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v34 Liwali akasoma barua ile na kumwuliza Paulo: “Wewe ni mtu wa jimbo gani?” Aliposikia kwamba yeye ni mtu wa jimbo la Kilikia, \v35 akamwambia: “Nitakusambisha wakati wale wanaokushitaki watakapofika.» Kisha akaamuru Paulo alindwe katika nyumba ya kifalme ya Herode.

View File

@ -395,6 +395,9 @@
"23-18", "23-18",
"23-20", "23-20",
"23-22", "23-22",
"23-25",
"23-28",
"23-31",
"24-title", "24-title",
"24-01", "24-01",
"24-04", "24-04",