Mon Oct 12 2020 13:45:10 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-12 13:45:11 +01:00
parent 7e22f1af65
commit 5479763ac8
3 changed files with 4 additions and 0 deletions

1
27/39.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 39 Kulipokucha wabaharia hawakutambua inchi ile lakini wakaona nafasi bahari inapoingia ndani ya inchi kavu na kwenye kivuko. Basi wakakusudia kwenda kukwamisha chombo kule, kama ikiwezekana. \v 40 Wakafungua nanga na kuziachilia zizame ndani ya bahari. Vilevile waliregeza kamba za makasia ya kuongoza chombo. Kisha wakafunga tanga ndogo mbele ya chombo kusudi kipelekwe na upepo, nao wakaelekea kwenye kile kivuko. \v 41 Lakini wakakwama kwenye lundo ya muchanga na chombo kikakwama pale. Sehemu ya mbele ya chombo ikazama kabisa pasipo kutikisika, lakini sehemu ya nyuma ikavunjikavunjika kwa kupigwa na zoruba kwa nguvu.

1
27/42.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 42 Halafu waaskari wakapata wazo la kuwaua wafungwa, kusudi hata mtu mmoja kati yao asitoroke kwa kuogelea. \v 43 Lakini kwa kuwa mkubwa wa jeshi alitaka kumuponyesha Paulo, yeye akawazuiza wasitimize kusudi lao. Akaamuru wale waliojua kuogelea wajitupe wa kwanza ndani ya maji na kuvuka mpaka inchi kavu. \v 44 Nao wengine wawafuate wakikamatilia kwenye mbao au kwenye vipande vya chombo. Ni vile watu wote walivyofika inchi kavu salama.

View File

@ -448,6 +448,8 @@
"27-30", "27-30",
"27-33", "27-33",
"27-36", "27-36",
"27-39",
"27-42",
"28-title", "28-title",
"28-01", "28-01",
"28-03", "28-03",