Mon Oct 12 2020 13:41:11 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)
This commit is contained in:
parent
225713f6a7
commit
1cb89eeebc
|
@ -1,2 +1 @@
|
||||||
23 Kwa maana usiku malaika wa Mungu, ninayekuwa mtu wake na ninayemwabudu, alinitokea 24 na kuniambia: Paulo, usiogope! Sherti usambe mbele ya Mfalme wa Roma. Na tena kwa kuwa inamupendeza Mungu kukutendea mema, yeye ataokoa maisha ya watu hawa wote wanaosafiri pamoja nawe. 25 Basi mujipe moyo, kwa sababu ninamutumainia Mungu kwamba itatendeka sawasawa nilivyoambiwa. 26 Lakini ni sherti tutupwe kwenye kisanga kimoja.
|
\v 23 Kwa maana usiku malaika wa Mungu, ninayekuwa mtu wake na ninayemwabudu, alinitokea \v 24 na kuniambia: Paulo, usiogope! Sherti usambe mbele ya Mfalme wa Roma. Na tena kwa kuwa inamupendeza Mungu kukutendea mema, yeye ataokoa maisha ya watu hawa wote wanaosafiri pamoja nawe. \v 25 Basi mujipe moyo, kwa sababu ninamutumainia Mungu kwamba itatendeka sawasawa nilivyoambiwa. \v 26 Lakini ni sherti tutupwe kwenye kisanga kimoja.
|
||||||
27 Tulieneza majuma mawili tukipelekwa huku na huko na zoruba katika bahari ya Adria. Katikati ya usiku watumishi wa chombo waliwazia kwamba tumekaribia inchi kavu. 28 Wakashusha kipimo ndani ya maji nao wakapata metre makumi ine kwenda chini. Mbali kidogo wakatupa tena kipimo na kupata metre makumi tatu. 29 Kwa kuogopa kwamba chombo kisikwame kwenye mawe, wakashusha nanga ine za upande wa nyuma wa chombo na kungojea usiku ukuche.
|
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 27 Tulieneza majuma mawili tukipelekwa huku na huko na zoruba katika bahari ya Adria. Katikati ya usiku watumishi wa chombo waliwazia kwamba tumekaribia inchi kavu. \v 28 Wakashusha kipimo ndani ya maji nao wakapata metre makumi ine kwenda chini. Mbali kidogo wakatupa tena kipimo na kupata metre makumi tatu. \v 29 Kwa kuogopa kwamba chombo kisikwame kwenye mawe, wakashusha nanga ine za upande wa nyuma wa chombo na kungojea usiku ukuche.
|
|
@ -443,6 +443,8 @@
|
||||||
"27-17",
|
"27-17",
|
||||||
"27-19",
|
"27-19",
|
||||||
"27-21",
|
"27-21",
|
||||||
|
"27-23",
|
||||||
|
"27-27",
|
||||||
"28-title",
|
"28-title",
|
||||||
"28-01",
|
"28-01",
|
||||||
"28-03",
|
"28-03",
|
||||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue