Sun Oct 11 2020 20:24:43 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 20:24:44 +01:00
parent d63c9e60d9
commit 9d160219ee
3 changed files with 4 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 16 \v 18 Uepuke masemi yasiyokuwa na maana na ya kidunia, kwa maana wale wanaoyafuata wanazidi kupotoka katika ibada ya uongo. 17 \v 17 Maneno yao yanaambukiza kama vile kidonda chenye kuoza kinavyoharibu mwili wote. Kati yao kuna Himeneo na Fileto. 18 Hao wamepotoka mbali na ukweli, wamepotosha imani ya watu wengi wakisema kwamba ufufuko tunaongojea umekwisha kufanyika.
\v 16 Uepuke masemi yasiyokuwa na maana na ya kidunia, kwa maana wale wanaoyafuata wanazidi kupotoka katika ibada ya uongo. \v 17 Maneno yao yanaambukiza kama vile kidonda chenye kuoza kinavyoharibu mwili wote. Kati yao kuna Himeneo na Fileto. \v 18 Hao wamepotoka mbali na ukweli, wamepotosha imani ya watu wengi wakisema kwamba ufufuko tunaongojea umekwisha kufanyika.

1
02/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 19 Lakini musingi uliojengwa na Mungu, unasimama imara. Nayo maneno haya yamechapwa juu ya musingi ule Bwana anajua wale wanaokuwa wake, na haya mengine: «Kila mtu anayesema kwamba yeye ni wa Bwana anapaswa kujitenga na maovu.» \v 20 Ndani ya nyumba kubwa, hamuna vyombo vya zahabu na feza tu, lakini muko vilevile vyombo vya miti na vya udongo. Vimoja ni vya matumizi ya kipekee na vingine ni vya matumizi ya kawaida. \v 21 Basi kama mtu atajitakasa kwa kujitenga na maovu hayo yote atakuwa chombo cha matumizi ya kipekee, kitakatifu cha mwenye nyumba na chenye mafaa kwake na kuwa tayari kwa kila kazi njema.

View File

@ -50,6 +50,8 @@
"02-08",
"02-11",
"02-14",
"02-16",
"02-19",
"03-title",
"03-01",
"03-05",