swc_1ti_text_reg/05/23.txt

1 line
299 B
Plaintext

\v 23 Kwanzia sasa usikunye tena niayi tu, lakini kunywa nvinyo kidogo ju ya afia ya mwili yako. \v 24 Madhambi ya batu bengine zina onesha na inabatangulia kwe,da hukumu. \v 25 Lakini badhambi nyingine inabafuata nyuma. Vile vile matendo mazuli yake inaonekana wazi lakini zingine haiwezi kufichwa.