Wed May 06 2020 20:58:37 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-05-06 20:58:37 +01:00
parent a138eafe5b
commit aec745ee77
4 changed files with 6 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
19Usitike hata mastaki ju ya Mzee ila ikuwe binywaya basha hidi bawili au batatu. 20Uamakie benye banaendelea ku fanya dhambi mbee ya bote, ju bengine baogope.
\v 19 Usitike hata mastaki ju ya Mzee ila ikuwe binywaya basha hidi bawili au batatu. \v 20 Uamakie benye banaendelea ku fanya dhambi mbee ya bote, ju bengine baogope.

1
05/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Nasema mbele ya Mungu, na mbele ya Kristo Yesu, na mbele ya malaika bateule, musifanye neno hiyi na kuhukumu kwa kuchagua na upendeleo. \v 22 Usitilie mutu mikono kwa mbio, ju usichange pa moya na dhambi ya mutu mwengine. Ujichunge safi.

1
05/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 \v 24 \v 25 Kwanzia sasa usikunye tena niayi tu, lakini kunywa nvinyo kidogo ju ya afia ya mwili yako. 24Madhambi ya batu bengine zina onesha na inabatangulia kwe,da hukumu. 25Lakini badhambi nyingine inabafuata nyuma. Vile vile matendo mazuli yake inaonekana wazi lakini zingine haiwezi kufichwa.

View File

@ -72,6 +72,8 @@
"05-09",
"05-11",
"05-14",
"05-17"
"05-17",
"05-19",
"05-21"
]
}