swc_1co_text_reg/15/37.txt

1 line
374 B
Plaintext

\v 37 Kile unachopanda si mumea mzima utakaopaswa kutokea nyuma, lakini ni punje tu, labda ya ngano au mbegu ingine fulani. \v 38 Mungu anatokeza ndani ya ile punje umbo la mumea anaotaka; yeye anatokeza ndani ya kila mbegu umbo la kipekee. \v 39 Miili ya viumbe vyote si sawa: watu wako na mwili wao wa kipekee, na nyama vilevile, na mwili wa ndege na samaki ni mbalimbali.