swc_1co_text_reg/06/14.txt

1 line
238 B
Plaintext

\v 14 Mungu aliyemufufua Bwana Yesu atatufufua nasi vilevile kwa uwezo wake. \v 15 Munajua kwamba miili yenu ni viungo vya mwili wa Kristo. Basi nitatwaa kiungo cha mwili wa Kristo kwa kukifanya kuwa kiungo cha kahaba? Hapana hata kidogo!