Mon Oct 12 2020 19:48:11 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-12 19:48:12 +01:00
parent 5cc8e20e02
commit c25515f996
5 changed files with 8 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
30 o zawadi ya kuponyesha wagonjwa, wa kusema kwa luga za ajabu, au wa kutafsiri. 31 Basi mutamani sana zawadi inayokuwa bora zaidi.
\v 30 Ao zawadi ya kuponyesha wagonjwa, wa kusema kwa luga za ajabu, au wa kutafsiri. \v 31 Basi mutamani sana zawadi inayokuwa bora zaidi.

1
13/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 13 \v 1 Hata nikiwa na uwezo wa kusema luga za watu na za wamalaika, lakini kama sina upendo, masemi yangu ni bure kama vile kelele la kengele au matoazi. \v 2 Hata nikiwa na zawadi ya kutabiri, na uwezo wa kujua mafumbo yote na maarifa yote; hata nikiwa na imani kubwa inayoweza kuhamisha milima; lakini kama sina upendo, mimi ni kitu bure. \v 3 Ninaweza vilevile kugawanya mali yangu yote kwa kulisha wamasikini na hata kutoa mwili wangu uunguzwe, lakini kama sina upendo, hakuna faida ninayopata.

1
13/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v4 Upendo unavumilia, ni wenye wema; upendo hauna wivu, upendo haujivuni, na hauna kiburi. \v5 Upendo haukosi kuwa na adabu, hautafuti faida yake mwenyewe, haukasiriki upesi, nao hauhesabii mtu ubaya. \v6 Upendo haufurahii ubaya, lakini unafurahia ukweli. 7 Upendo hauchoki na mambo yote, unaamini mambo yote, unatumaini mambo yote na kuvumilia mambo yote.

1
13/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 13

View File

@ -170,6 +170,9 @@
"12-18",
"12-21",
"12-25",
"12-28"
"12-28",
"12-30",
"13-title",
"13-01"
]
}