Mon Oct 12 2020 20:28:13 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-12 20:28:13 +01:00
parent 508a2c955b
commit 604125af32
4 changed files with 6 additions and 4 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 40 \v 41 40 Vilevile kuna miili ya mbinguni na miili ya dunia; nao uzuri wa miili ya mbinguni ni mbalimbali na uzuri wa miili ya dunia. 41 Uzuri wa jua ni mbalimbali na uzuri wa mwezi, nao uzuri wa nyota ni mbalimbali, kwa maana hata nyota zinapishana uzuri vilevile.
\v 40 Vilevile kuna miili ya mbinguni na miili ya dunia; nao uzuri wa miili ya mbinguni ni mbalimbali na uzuri wa miili ya dunia. \v 41 Uzuri wa jua ni mbalimbali na uzuri wa mwezi, nao uzuri wa nyota ni mbalimbali, kwa maana hata nyota zinapishana uzuri vilevile.

View File

@ -1,2 +1 @@
42 Itakuwa hivi vilevile wakati wafu watakapofufuka. Mwili unazikwa katika udongo katika hali ya kuharibika, lakini unapofufuka, unafufuka na hali ya kutoweza kuharibika 43 na hali ya utukufu; nao unazikwa katika uzaifu, lakini unafufuka na nguvu. 44 Wakati unapozikwa ni mwili wa kimtu, lakini unapofufuka unageuka mwili wa kiroho. Kama kuna mwili wa kimtu, basi kuna mwili wa kiroho vilevile. 45 Kwa maana, Maandiko Matakatifu yanasema: «Mtu wa kwanza, Adamu, alikuwa kiumbe chenye uzima»; lakini Adamu wa mwisho ni Roho anayewapatia watu uzima. 46 Si mwili wa kiroho unaotangulia lakini ni mwili wa kimtu, kisha ule wa kiroho unafuata. 47 Adamu wa kwanza aliumbwa kwa udongo, yeye ni wa dunia, lakini Adamu wa pili alitoka mbinguni. 48 Watu wa dunia wanafanana na yule aliyeumbwa kwa udongo, na watu wa mbinguni wanafanana na yule aliyetoka mbinguni. 49 Na kama vile tulivyofanana na yule mtu aliyeumbwa kwa udongo, vilevile tutafanana na yule aliyetoka mbinguni. 50 Wandugu zangu, muangalie, jambo ninalotaka kusema ni hili: kile kilichoumbwa kwa nyama na damu hakiwezi kupata urizi katika Ufalme wa Mungu katika hali ile, wala hakuna chenye hali ya kuharibika kinachoweza kuwa na hali ya kutoharibika. 51 Sasa nitawaambia ninyi siri: sisi wote hatutakufa, lakini sisi wote tutabadilishwa 52 kwa rafla, kama vile mtu anavyofunga jicho na kulifungua, wakati ngunga ya mwisho itakapolia. Kwa maana wakati itakapolia, wafu watafufuka na kupata kuwa katika hali ya kutoweza kufa tena, na sisi wote tutabadilishwa. 53 Kwa maana sherti mwili huu wa kuharibika uvae mwili wa kutoharibika, na mwili wa kufa sherti uvae mwili wa kutokufa. 54 Na wakati mwili huu wa kuharibika utakapovaa ule wa kutoharibika, nao mwili wa kufa utakapovaa ule wa kutokufa, halafu Maandiko Matakatifu haya yatatimia: «Kifo kimekomeshwa; kimeshindwa kabisa. 55 Ewe kifo, ushindi wako uko wapi? Ewe kifo, uwezo wako wa kuua uko wapi?» 56 Kifo kinapata uwezo wa kuua kutokana na zambi, na zambi inapata uwezo wake kutokana na Sheria. 57 Lakini tumushukuru Mungu anayetupatia ushindi kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.
58 Basi wandugu zangu wapenzi, musimame imara bila kutikisika. Muendelee kumutumikia Bwana siku zote, mukijua kwamba masumbuko munayopata kwa ajili ya Bwana hayatapita bure.
\v 42 Itakuwa hivi vilevile wakati wafu watakapofufuka. Mwili unazikwa katika udongo katika hali ya kuharibika, lakini unapofufuka, unafufuka na hali ya kutoweza kuharibika \v 43 na hali ya utukufu; nao unazikwa katika uzaifu, lakini unafufuka na nguvu. \v 44 Wakati unapozikwa ni mwili wa kimtu, lakini unapofufuka unageuka mwili wa kiroho. Kama kuna mwili wa kimtu, basi kuna mwili wa kiroho vilevile.

1
15/45.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 45 Kwa maana, Maandiko Matakatifu yanasema: «Mtu wa kwanza, Adamu, alikuwa kiumbe chenye uzima»; lakini Adamu wa mwisho ni Roho anayewapatia watu uzima. \v 46 Si mwili wa kiroho unaotangulia lakini ni mwili wa kimtu, kisha ule wa kiroho unafuata.

View File

@ -211,6 +211,8 @@
"15-31",
"15-33",
"15-35",
"15-37"
"15-37",
"15-40",
"15-42"
]
}