Sun Oct 11 2020 20:54:15 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)
This commit is contained in:
parent
880c6c9ac2
commit
544bb16cdf
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 6 Ile inatokana na vile ujumbe juu ya Kristo umehakikishwa kwa nguvu kati yenu, \v 7 hata hamukosewi zawadi yoyote ya Mungu, mukiwa mukingojea wakati Bwana wetu Yesu Kristo atakapoonekana. \v 8 Ni yeye atakayewasimamisha ninyi imara mpaka mwisho kusudi musishitakiwe juu ya kosa lolote Siku ile ya kurudi kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 9 Mungu ni mwaminifu katika ahadi zake, yeye aliyewaita ninyi muishi katika ushirika pamoja na Mwana wake Yesu Kristo, Bwana wetu. \v 10 Wandugu zangu, ninawasihi ninyi kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo, mukuwe na masikilizano kusudi matengano yasikuwe katikati yenu. Muishi katika umoja kabisa mukiwa na nia moja na wazo moja.
|
|
@ -84,6 +84,8 @@
|
|||
"04-19",
|
||||
"05-title",
|
||||
"05-01",
|
||||
"05-03"
|
||||
"05-03",
|
||||
"05-06",
|
||||
"05-09"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue