shc_luk_text_reg/03/33.txt

1 line
272 B
Plaintext

\v 33Mwana wa Aminadabi mwana wa Admini mwana wa Arni mwana wa Hezroni mwana wa Perezi mwana wa Yuda. \v 34Mwana wa Yakobi mwana wa Isaki mwana wa Abalayami mwana wa Terahi mwana wa Nahori. \v 35Mwana wa Sengi mwana wa Reu mwana wa Pelegi mwana wa Eberi mwana wa Shelahi.