sw_zec_text_reg/11/15.txt

1 line
360 B
Plaintext

\v 15 Yahwe akaniambia, "Tena, chukua chombo cha mchungaji mpumbavu kwa ajili yako mwenyewe, \v 16 kwa maana tazama, niko tiyari kumweka mahali mchungaji katika nchi. Hataangalia kondoo wanaoangamia. Hatatafuta kondoo wapoteao, wala kuwaponya kondoo wachechemeao. Hatawalisha kondoo wenye afya, lakini atakula nyama ya kondoo walionona naye atapasua kwato zao.