sw_zec_text_reg/11/13.txt

1 line
283 B
Plaintext

\v 13 Kisha Yahwe akaniambia, "Weka fedha katika hazina, thamani nzuri zaidi ambayo walikupa!" Hivyo nikachukua vipande thelathini vya fedha na kuviweka katika hazina ndani ya nyumbani Yahwe. \v 14 Kisha nikavunja fimbo yangu ya pili, "Umoja," kuvunja undugu kati ya Yuda na Israeli.