sw_zec_text_reg/05/05.txt

1 line
335 B
Plaintext

\v 5 Ndipo malaika aliyekuwa akisema nami alipoenda nje na kuniambia, "Inua macho yako uone kinachokuja!" \v 6 Nikasema, "Ni nini hiki?" Akasema, "Hiki ni kikapu kilicho na efa ijayo. Huu ni uovu wao katika nchi yote." \v 7 Kisha mfuniko wa risasi ukainuliwa kutoka ndani ya kikapu na kulikuwa na mwanamke chini yake amekaa ndani yake!