\c 2 \v 1 Kisha nikainua macho yangu na kuona mtu akiwa na timazi mkononi mwake. \v 2 Nikamwuliza, "Unakwenda wapi?" Akaniambia, "Ninakwenda kuipima Yerusalemu ili kujua upana na urefu wake."