Thu Oct 06 2022 17:46:00 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-06 17:46:01 +03:00
parent 09cadd3410
commit 2576a1cd82
4 changed files with 11 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Hili ni tamko la neno la Yahwe kuhusu nchi ya Hadraki na Damesiki. Kwa maana jicho la Yahwe liko juu ya wanadamu wote, na juu ya kabila zote za Israeli pia. \v 2 Azimio hili pia linaihusu Hamathi, inayopakana na Damesiki, na linahusu Tiro na Sidoni, japokuwa ni werevu sana.
\c 9 \v 1 Hili ni tamko la neno la Yahwe kuhusu nchi ya Hadraki na Damesiki. Kwa maana jicho la Yahwe liko juu ya wanadamu wote, na juu ya kabila zote za Israeli pia. \v 2 Azimio hili pia linaihusu Hamathi, inayopakana na Damesiki, na linahusu Tiro na Sidoni, japokuwa ni welevu sana.

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 Ashikeloni ataona na kuogopa! Gaza pia atatemeka sana! Ekroni, tumanini lake litatikiswa! Mfalme ataangamizwa kuanzia Gaza, na Ashikeloni haitakuwa na watu tena! \v 6 Wageni watafanya makao yao katika Ashidodi, nami nitakiondoa kiburi cha Wafilisiti. \v 7 Kwani nitaondoa damu yao katika vinywa vyao na machukizo yao kutoka kati ya meno yao. Ndipo watakapokuwa masalia kwa Mungu wetu kama ukoo katika Yuda, na Ekironi atakuwa kama Wayebusi.
\v 5 Ashikeloni ataona na kuogopa! Gaza pia atatetemeka sana! Ekroni, tumanini lake litatikiswa! Mfalme ataangamizwa kuanzia Gaza, na Ashikeloni haitakuwa na watu tena! \v 6 Wageni watafanya makao yao katika Ashidodi, nami nitakiondoa kiburi cha Wafilisiti. \v 7 Kwani nitaondoa damu yao katika vinywa vyao na machukizo yao kutoka kati ya meno yao. Ndipo watakapokuwa masalia kwa Mungu wetu kama ukoo katika Yuda, na Ekironi atakuwa kama Wayebusi.

1
11/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 11

View File

@ -84,6 +84,14 @@
"08-20",
"08-23",
"09-title",
"09-01",
"09-03",
"09-05",
"09-08",
"09-09",
"09-11",
"09-14",
"09-16",
"10-title",
"10-01",
"10-03",