sw_zec_text_reg/03/01.txt

1 line
369 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 1 Kisha Yahwe akanionesha Yoshua kuhani mkuu amesimama mbele za malaika wa Yahwe na Shetani amesimama mkono wake wa kushoto kumshitaki kwa ajili ya dhambi. \v 2 Malaika wa Yahwe akamwambia Shetani, "Yahwe na akukemee, Yahwe, aliyeuchagua Yerusalemu, akukemee! Je hiki si kinga kilichotolewa motoni" \v 3 Yoshua alikuwa na mavazi machafu aliposimama mbele ya malaika.