1 line
382 B
Plaintext
1 line
382 B
Plaintext
\v 5 Mimi ni mweusi lakini wa mzuri, enyi mabinti wa wanaume wa Yerusalemu - mweusi kama hema za Kedari, mzuri kama mapazia ya Sulemani. \v 6 Usinishangae kwasababu ni mweusi, kwasababu jua limeniunguza. Wana wa mama yangu walikuwa na hasira juu yangu; walinifanya mtunzaji wa mashamba ya mizabibu, lakini shamba langu la mizabibu sijalitunza. Mwanamke akizungumza na mpenzi wake. |