Fri Aug 26 2022 11:39:49 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-08-26 11:39:54 +03:00
commit 88bb352644
81 changed files with 147 additions and 0 deletions

1
01/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Wimbo ulio Bora, ambao ni wa Sulemani. Wanamke mdogo akizungumza na mpenzi wake \v 2 O, laiti ungenibusu na mabasu ya mdomo wako, kwa kuwa upendo wako ni bora kuliko mvinyo. \v 3 Mafuta yako ya upako yana manukato mazuri; jina lako ni kama marashi yaeleayo, hivyo wanawake wadogo wanakupenda. \v 4 Nichukuwe kwako, na tutakimbia. Mwanamke akizungumza mwenyewe Mfalme amenipeleka vyumbani mwake. Mwanamke akizungumza na mpenzi wake nina furuha; nina furahi kuhusu wewe; acha ni shereheke upendo wako; ni bora kuliko mvinyo. Ni halisi kwa wanawake wengine kupenda. Mwanamke akizungumza na wanawake wengine.

1
01/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Mimi ni mweusi lakini mzuri, enyi mabinti wa wanaume wa Yerusalemu - mweusi kama hema za Kedari, muzuri kama mapazia ya Sulemani. \v 6 Usinishangae kwasababu ni mweusi, kwasababu jua limeniunguza. Wana wa mama yangu walikuwa na hasira juu yangu; walinifanya mtunzi wa mashamba ya mizabibu, lakini mshamba langu la mizabibu sijatunza. Wanamke akizungumza na mpenzi wake.

1
01/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Niambie, wewe ninaye kupenda, wapi unalisha mifugo yako? Wapi unapumzisha mifugo yako mchana? Kwa nini niwe kama mtu anaye akangaika miongoni mwa mifugo ya marafiki zako? Mpenzi wake anamjibu

1
01/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Kama haujui, uliye mzuri miongoni mwa wanawake, fuata nyayo za mifugo yangu, na ulishe watoto wako wa mbuzi karibu na hema za wachungaji.

1
01/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Nina kulinganisha, mpenzi wangu, na farasi mzuri wakike miongoni mwa farasi wa magari ya Farao. \v 10 Mashavu yako ni mazuri na mapambo, shingo yako na mikufu ya madini. \v 11 Nitakufanyia mapambo ya dhahabu yaliochanganywa na fedha. Mwanamke akiongea mwenyewe.

1
01/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Wakati mfalme akiwa amelala kitandani mwake, marashi yangu yakasambaza arufu. \v 13 Mpenzi wangu ni kwangu kama mkebe wa marashi unao lala usiku katika ya maziwa yangu. \v 14 Mpenzi wangu ni kwangu kama kifurushi cha maua ya hena katika mashamba ya mizabibu ya Eni Gedi. Mpenzi wake anazungumza naye

1
01/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Ona, wewe ni mzuri, mpenzi wangu; ona, wewe ni mzuri; macho yako ni kama ya hua. Mwanamke anazungumza na mpenzi wake.

1
01/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Ona, wewe ni mtanashati, mpenzi wangu, jinsi mtanashati. \v 17 Nguzo za nyumba yetu ni za matawi ya mierezi, na dari letu ni la matawi ya miberoshi.

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Mimi ni ua katika tambarare, nyinyoro katika bonde. Mwanaume akizungumza naye \v 2 Kama nyinyoro miongoni mwa mimba, ndivyo wewe, mpenzi wangu, miongoni mwa mabinti wengine wote. Mwanamke akizungumza mwenyewe

1
02/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Kama mti wa mpera ulivyo miongoni mwa miti ya misituni, ndivyo mpenzi wangu alivyo miongoni mwa wanaume. Nina kaa chini ya kivuli chake kwa furaha sana, na tunda lake ni tamu kwa ladha yangu. \v 4 Amenileta kwenye ukumbi wa maakuli, na bendera yake juu yangu ilikuwa upendo. Mwanamke akizungumza na mpenzi wake.

1
02/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Ni uishe kwa keki za mizabibu na kuniuisha na mapera, kwa kuwa nimedhohofika na mapenzi. Mwanamke akizungumza mwenyewe \v 6 Mkono wake wakushuto upo chini ya kichwa changu, na mkono wake wa kulia wanikumbatia. Mwanamke akizungumza na wanawake wengine.

1
02/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Ninataka muhaidi, mabinti wa Yerusalemu, kwa swala na paa wa porini, kwamba hamtavuruga mapenzi yetu hadi yatakapo isha yenyewe. Mwanamke akizungumza mwenyewe.

1
02/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Sauti ya mpenzi wangu hiyo! O, huyu yuwaja, akiruka ruka juu milima, akiruka vilimani. \v 9 Mpenzi wangu ni kama swala au mtoto mdogo wa paa; angalia, amesimama nyuma ya ukuta wetu, akishangaa kupitia dirishani, akichungulia wavuni.

1
02/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Mpenzi wangu alizungumza na mimi na kusema, "Amka, mpenzi wangu; mzuri wangu, twende pamoja nami. \v 11 Angalia, baridi imepita; mvua imeisha na kwenda.

1
02/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Maua yametokeza juu ya nchi; wakati wa kupunguza matawi na kuimba kwa ndege umekuja, na sauti za hua zimesikika nchini kwetu. \v 13 Mti wa tini umepevusha tini zake za kijani, na mizabibu imestawi; yatoa marashi yake. Inuka, mpenzi wangu, mzuri wangu, na uje nami.

1
02/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Hua wangu, katika miamba ya mawe, katika miamba ya siri ya mipasuko ya milima, acha nione uso wako. Acha nisikie sauti yako, kwa kuwa sauti ni tamu, na uso wako ni mzuri." Mwanamke akiongea mwenyewe

1
02/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Wakamate mbweha kwa ajili yetu, mbweha wadogo wanao haribu shamba za mizabibu, kwa kuwa shamba la mizabibu limestawi.

1
02/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Mpenzi wangu ni wangu, na mimi ni wake; anakula penye nyinyoro kwa raha. Mwanamke anaongea na mpenzi wake \v 17 Enenda zako, mpenzi wangu, kabla pepo za jioni hazija vuma na vivuli kutoweka. Nenda zako; kuwa kama ayala au mtoto mdogo wa paa katika milima mawe mengi.

1
03/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Usiku katika kitanda changu nilikuwa na shauku ya yeye ni mpendaye; nilimtafuta, lakini sikumpata. \v 2 Nilisema binafsi, "Nitainuka na kwenda kupitia mji, kupitia mitaa na sokoni; nitamtafuta." Nilimtafuta, lakini sikumpata.

1
03/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Walinzi walinipata walipo kuwa doria katika mji. Nikawauliza, "Mmemuona mpenzi wangu?" \v 4 Ni baada ya mda mfupi kupita nilipo wapita nikampata ninaye mpenda. Nilimshika na sikumuacha hadi nilipo mleta nyumbani mwa mama yangu, katika chumba cha yeye aliyenichukua mimba. Mwanamke akiongea na wanawake wengine.

1
03/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Ninataka muape, mabinti wa wanaume waYerusalemu, kwa ayala na paa wa porini, kuwa hamtavuruga mapenzi yetu hadi yatakapo isha yenyewe. Mwanamke mdogo akizungumza mwenyewe

1
03/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Nini hiyo inayo toka nyikani kama nguzo za moshi, umefukizwa manemane na ubani, pamoja na unga wote wa manukato unao uzwa na wafanya biashara? \v 7 Angalia, nikitanda cha Sulemani; mashujaa sitini wamekizunguka, wanajeshi elfu sitini wa Israeli

1
03/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Wao ni wazoefu wa upanga na wanaujuzi wa vita. Kila mwanaume ana upanga wake pembeni yake, akijizatiti na maasi ya usiku. \v 9 Mfalme Sulemani akajijengea kiti cha kifalme cha kubebwa na mbao za Lebanoni.

1
03/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Nguzo zake zilijengwa kwa fedha; nyuma kuliekwa dhahabu, na kiti kitambaa cha zambarau. Ndani mwake kulipambwa na upendo na mabinti wa wanaume wa Yerusalemu. Mwanamke mdogo akizungumza na wanawake wa Yerusalemu \v 11 Nenda nje, mabinti wa wanaume wa Sayuni, na mtazame mfalme Sulemani, akivikwa taji ambalo mamaye alimvika siku ya arusi yake, katika siku ya furaha ya maisha yake.

1
04/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 O, wewe ni mzuri, mpenzi wangu; wewe ni mzuri. Macho yako ni ya hua nyuma kitamba chako cha uso. Nywele zako ni kama kundi la mbuzi likienda chini kutoka Mlima Gileadi.

1
04/02.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 2 Meno yako ni kama kondoo walio nyolewa, wakitoka sehemu ya kuoshwa. Kila mmoja ana pacha, na hamna ata mmoja miongoni mwao aliyefiwa.

1
04/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Mdomo wako ni kama uzi mwekendu; mdo wako wapendeza. Mashavu yako ni kama majani ya komamanga nyuma ya kitambaa chako cha uso.

1
04/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Shingo yako ni kama mnara wa Daudi ukiwa umejengwa kwa mistari ya mawe, na ngao elfu moja ikining'nia juu yake, ngao zote za wanajeshi. \v 5 Maziwa yako mawili ni kama swala wawili, mapacha wa ayala, wakila miongoni mwa nyinyoro.

1
04/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Hadi jioni ifike na vivuli viondoke, nitaenda kwenye mlima wa manemane na vilima vya ubani. \v 7 Wewe ni mzuri kwa kila namna, mpenzi wangu na hakuna lawama ndani yako.

1
04/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Njoo nami kutoka Lebanoni, bibi arusi wangu. Njoo nami kutoka Lebanoni; njoo kutoka juu ya Amana, kutoka juu ya Seneri na Herimoni, kutoka shimoni mwa simba, kutoka mashimo ya milima ya chuwi.

1
04/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Umeuiba moyo wangu, dada yangu, bibi arusi wangu; umeuiba moyo wangu, kwa mtazamo mmoja tu wako kwangu, kwa mkufu mmoja wa shingo yako.

1
04/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Jinisi gani upendo wako ulivyo mzuri, dada yangu, bibi arusi wangu! Jinsi gani zaidi upendo wako ulivyo bora kuliko mvinyo, na arufu ya marashi yako kuliko manukato yeyote. \v 11 Midomo yako, bibi arusi wangu, yatiririka asali; asali na maziwa vichini ya ulimi wako; arufu ya mavazi yako ni kama marashi ya Lebanoni.

1
04/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Dada yangu, bibi arusi wangu ni bustani ilio fungwa, bustani ilio fungwa, chemchemi iliyo fungwa kwa muhuri. \v 13 Matawi yako ni kichaka cha miti ya komamanga yenye matunda tofauti, na ya mimea ya hina na nardo, \v 14 Nardo na Zafarani, mchai na mdalasini pamoja na aina zote za uvumba, manemane na udi na aina tofauti za manukato.

1
04/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Wewe ni bustani ya chemchemi, kisima cha maji safi, mifereji inayo shuka kutoka Lebanoni. Mwanamke mdogo akizungumza peke yake \v 16 Amka, upepo wa kaskazini; njoo, upepo wa kusini; vuma katika bustani yangu ili manukato yake yatoe marashi. Mpenzi wangu na aje katika bustani yake na kula matunda ya chaguo lake.

1
05/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Nimekuja katika bustani yangu, dada yangu, bibi arusi wangu; Nimekusanya udi wangu na manukato yangu. Nimekula mziga wangu wa asali na asali yangu; Nimekunywa mvinyo wangu pamoja na maziwa yangu. Marafiki wanazungumza na wapenzi Kuleni, marafiki; kunyweni na mlewe na mapenzi. Mwanamke mdogo akizungumza mwenyewe

1
05/02.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 2 Nilikuwa nimelala, lakini moyo wangu ulikuwa umeamka katika ndoto. Sauti ya mpenzi wangu yabisha na kusema, "Nifungulie, dada yangu, mpenzi wangu, hua wangu, wangu usiye na doa, kwa kuwa kichwa changu kimelowa na matone, nywele zangu na unyevu wa usiku."

1
05/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 "Nimevua joho langu; lazima nilivae tena? Nimeosha miguu yangu; lazima ni ichafue?" \v 4 Mpenzi wangu anaeka mkono wake kwenye kitasa, na moyo wangu ukawaka kwa ajili yake.

1
05/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Nimeamka kumfungulia mlango mpenzi wangu; mikono yangu ikawa yamiminika na udi, vidole vyangu na unyevu wa udi, katika komeo la mlango.

1
05/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Nimemfungulia mlango mpenzi wangu, lakini mpenzi wangu aligeuka na kwenda. Moyo wangu ukadidimia; nikakosa tumaini. Nikamtafuta, lakini sikumpata; nikamuita, lakini hakunijibu.

1
05/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Walinzi waliokuwa wakizunguka mjini walinipata mimi; walinipiga chini na kunijeruhi; askari katika ukuta walichukua nguo yangu ya juu. Mwanamke mdogo akizungumza na wanawake wa mji

1
05/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Ninataka uhaidi, mabinti wa Yerusalemu, kwamba mkimuona mpenzi wangu, mwambie ninaumwa sababu ya upendo wangu kwake. Wanawake wa mji wakizungumza na mwanamke mdogo

1
05/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Mpenzi wako ana ubora gani kuliko mwanaume mwengine, wewe uliye mzuri miongoni mwa wanawake? Kwanini mpenzi wako bora kuliko mpenzi mwengine, hadi utuulize tuweke nadhiri kama hii? Mwanamke mdogo akizungumza na wanawake wa mji

1
05/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Mpenzi wangu amenawiri na ana ng'aa, kati ya wanaume elfu kumi. \v 11 Kichwa chake ni dhahabu safi; nywele zake ni laini na nyeusi kama kunguru.

1
05/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Macho yake ni kama ya hua pembezoni ya vijito vya maji, yameoshwa na maziwa, yameundwa kama mikufu.

1
05/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Mashavu yake ni kama vitanda vya manukato, vinavyotoa arufu ya marashi. Midomo yake nni nyinyoro, inayo tiririka udi.

1
05/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Mikono yake ni ya mianzi ya dhahabu iliyo zungushiwa mikufu; tumbo lake ni pembe lililo funikwa yakuti samawi.

1
05/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Miguu yake ni nguzo za marimari, iliyo ekwa juu ya dhahabu safi; muonekano wake ni kama Lebanoni, mizuri kama mierezi.

1
05/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Mdomo wake ni mtamu; ni mzuri sana. Huyu ni mpenzi wangu, na huyu ni rafiki yangu, mabinti wa Yerusalemu.

1
06/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Mpenzi wako ameenda wapi, ulio mzuri miongoni mwa wanawake? Kwa njia gani mpenzi wako ameenda? ilitumtafute nawe? Mwanamke mdogo akizungumza mwenyewe

1
06/02.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 2 Mpenzi wangu ameenda katika bustani yake, kwenye vitanda vya manukato, kwenda kula katika bustani na kukusanya nyinyoro. \v 3 Mimi ni wa mpenzi wangu, na mpenzi wangu ni wangu; na kula katika nyinyoro kwa raha. Mpenzi wa mwanamke akizungumza naye

1
06/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Wewe ni mzuri kama Tirza, mpenzi wangu, wapendeza kama Yerusalemu, waamasisha kama jeshi lenye bendera mbele.

1
06/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Geuza macho yako mbali na mimi, kwa kuwa yana nizidi ukali. Nywele zako ni kama kundi la mbuzi likishuka chini kutoka miteremko ya Mlima Gileadi.

1
06/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Meno yako ni kama kundi la kondoo likishuka kutoka sehemu ya kuoshwa. Kila mmoja anapacha, na hamna ata mmoja aliyefiwa. \v 7 Mashavu yako ni kama majani ya komamanga nyuma ya kitambaa chako cha uso. Mpenzi wa mwanamke akizungumza peke yake

1
06/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Kuna malikia sitini, masuria themanini, na wanawake wadogo bila idadi. \v 9 Hua wangu, asiye na doa wangu, ni yeye pekee; ni binti muhimu wa mama yake; ndiye kipenzi cha mwanamke aliye mzaa. Mabinti wa wenzengu wamemuona na kumuita mbarikiwa; wamalikia na masuria walimuona pia, na wakamsifu: Kile walicho sema wamalikia na masuria

1
06/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 "Ni nani huyo anaye jitokeza kama kukicha, mzuri kama mwezi, ana ng'aa kama jua, uamasisha kama bendera ya jeshi?" Mpenzi wa mwanamke akizungumza mwenyewe

1
06/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Nimeenda kwenye kichaka cha miti ya milozi kuona mimea midogo ikikua bondeni, kuona kama mizabibu imechipua, na kama mikomamanga imestawi. \v 12 Nilikuwa nina furaha nikahisi kama nimepakia gari ya farasi la mtoto wa mfalme. Mpenzi wa mwanamke akizungumza naye

1
06/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Geuka nyuma, geuka nyuma, wewe mwanamke mkamilifu; geuka nyuma, geuka nyuma iliniweze kukushangaa. Mwanamke mdogo akizungumza na mpenzi wake Kwanini wanishangaa, mwanamke mkamilifu, kana kwamba nina cheza katika ya mistari miwili ya wachezaji?

1
07/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Jinsi gani miguu yako ilivyo yaonekana mizuri kwenye viatu, binti wa mfalme! Mapaja yako ni kama mikufu, kama kazi ya mjenzi.

1
07/02.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 2 Kitovu chako ni kama duara la bakuli; kamwe kisikose mchanganyiko wa mvinyo. Tumbo lako ni kama ngano iliyo umuka na kuzungushiwa nyinyoro.

1
07/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Maziwa yako mawili ni kama watoto wawili wa ayala, mapacha wa ayala. \v 4 Shingo yako ni kama mnara wa pembe; macho yako ni kama maziwa ya Heshiboni kwenye lango la Bathi Rabimu. Pua yako ni kama mnara wa Lebanoni ambao watazama Damasko.

1
07/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Kichwa chako ni kama Karmeli; nywele kichwani mwako ni za zambarau nyeusi. Mfalme amestaajabishwa na vifundo vyake vya nywele. \v 6 Jinsi gani ulivyo mzuri na wakupendeza, mpenzi, na mazuri yako.

1
07/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Urefu wako ni wa kama mti wa mtende, na maziwa yako kama vifungu vya matunda. \v 8 Niliwaza, "Ninataka kuupanda huo mti wa mtende; nitashika matawi yake." Maziwa yako nayawe kama vifungu vya mizabibu, na harufu ya pua yako yawe kama mapera.

1
07/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Mdomo wako na uwe kama mvinyo bora, ukishuka taratibu kwa mpenzi wangu, ukiteleza kwenye midomo yetu na meno. Mwanamke mdogo akizungumza mwenyewe

1
07/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Mimi ni wa mpenzi wangu, na ananitamani. \v 11 Njoo, mpenzi wangu, twende nje ya mji; tu lala usiku kwenye vijiji.

1
07/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Tuamke mapema twende kwenye mashamba ya mizabibu; tuone kama mizabibu imemea, kama imechipua, na kama mikomamanga imetoa mau. Pale nitakupa penzi langu.

1
07/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Mitunguja ya toa harufu yake; katika mlango wa tunapoishi kuna kila aina ya matunda, mpya na ya kale, niliyo kuhifadhia, mpenzi wangu.

1
08/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Ninatamani ungekua kama kaka yangu, aliye nyonya ziwa la mama yangu. Ili kwamba kila ningekuona nje ningekubusu pasipo mtu kunidharau.

1
08/02.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 2 Nitakuongoza na kukuleta kwenye nyumba ya mama yangu, na utanifundisha. Nitakupa mvinyo ulio chachwa unywe na baadhi ya jwisi ya komamanga. Mwanamke mdogo akizungumza mwenyewe \v 3 Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu na mkono wake wa kulia wanikumbatia. Mwanamke akiongea na wanawake wengine

1
08/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Ninataka muape, mabinti wa wanaume wa Yerusalemu, kuwa hamtavuruga mapenzi yetu hadi yatakapo isha yenyewe. Wanawake wa Yerusalemu wakizungumza

1
08/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Ni nani huyu anaye kuja kutoka nyikani, amemuegemea mpenzi wake? Mwanamke mdogo akizungumza na mpenzi wake nimekuamsha chini ya mti wa mpera; pale mama yako alichukua mimba; pale alikuzaa, alijifungua wewe.

1
08/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Nieka kama muhuri kwenye moyo wako, kama muhuri kwenye mkono wako, kwa kuwa mapenzi yana nguvu kama mauti. Mapenzi mazito hayana kurudi kama kwenda kuzimu; miale yake yalipuka; ni miale ya moto inayo waka, miale yenye joto kuliko moto wowote.

1
08/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Maji yalio zuka hayawezi kuzimisha upendo, wala mafuriko hayawezi kuondoa. Mwanaume akitoa mali zake zote kwa ajili ya upendo, ukarimu wake utadharauliwa. Kaka zake mwanamke mdogo wakizungumza wenyewe

1
08/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Tuna dada mdogo, na matiti yake bado hayajakua. Nini tutamfanyia dada yetu siku hatakayo ahidiwa kuolewa?

1
08/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Kama ni ukuta, tutamjengea juu yake mnara wa fedha. Kama ni mlango, tutampamba kwa mbao za mierezi. Mwanamke mdogo akizungumza peke yake

1
08/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Nilikuwa ukuta, lakini matiti yangu sasa ni kama nguzo imara; hivyo nimekomaa machoni pake. Mwanamke mdogo akizungumza mwenyewe

1
08/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Sulemani alikuwa na shamba la mizabibu huko Baali Hamoni. Aliwakodishia wao ambao watalitunza. Kila mmoja alipaswa kuleta shekeli elfu moja za fedha kwa matunda yake. \v 12 Shamba langu ka mzabibu ni langu, shekeli elfu moja ni za kwako, Sulemani mpenzi, na shekeli mia mbili ni za wale wanao tunza matunda yake. Mpenzi wa mwanamke akizungumza naye.

1
08/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Wewe unaye ishi katika bustani, marafiki zangu wanasikiliza sauti yako; acha na mimi niweanaye isikia pia. Mwanamke mdogo akiongea na mpenzi wake

1
08/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Harakisha, mpenzi wangu, na uwe kama paa au mtoto wa paa kwenye milima ya manukato.

39
LICENSE.md Normal file
View File

@ -0,0 +1,39 @@
## Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International
### Human-Readable Summary
The Creative Commons Attribution-Share Alike 4.0 International License is available at
http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0/.
#### This is a human-readable summary of (and not a substitute for) the License.
### You are free to:
* **Share** — copy and redistribute the material in any medium or format.
* **Adapt** — remix, transform, and build upon the material for any purpose, even commercially.
The licensor cannot revoke these freedoms as long as you follow the license terms.
### Under the following terms:
* **Attribution** —You must give appropriate credit, provide a link to the license, and indicate if changes were made. You may do so in any reasonable manner, but not in any way that suggests the licensor endorses you or your use.
* **ShareAlike** — If you remix, transform, or build upon the material, you must distribute your contributions under the same license as the original.
* **No additional restrictions** — You may not apply legal terms or technological measures that legally restrict others from doing anything the license permits.
### Notices:
* You do not have to comply with the license for elements of the material in the public domain or where your use is permitted by an applicable exception or limitation.
* No warranties are given. The license may not give you all of the permissions necessary for your intended use. For example, other rights such as publicity, privacy, or moral rights may limit how you use the material.
This PDF was generated using Prince (https://www.princexml.com/).

1
front/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Wimbo wa Sulemani

29
manifest.json Normal file
View File

@ -0,0 +1,29 @@
{
"package_version": 6,
"format": "usfm",
"generator": {
"name": "ts-desktop",
"build": "27"
},
"target_language": {
"id": "sw",
"name": "Kiswahili",
"direction": "ltr"
},
"project": {
"id": "sng",
"name": "Song of Solomon"
},
"type": {
"id": "text",
"name": "Text"
},
"resource": {
"id": "reg",
"name": "Regular"
},
"source_translations": [],
"parent_draft": {},
"translators": [],
"finished_chunks": []
}