sw_rom_text_ulb/13/13.txt

1 line
259 B
Plaintext

\v 13 Na tuenende sawa sawa, kama katika nuru, si kwa sherehe za uovu au ulevi; na tusienende katika zinaa au tamaa isiyoweza kudhibitiwa, na si katika fitina au wivu. \v 14 Bali tumvae Bwana Yesu Kristo, na tusiweke nafasi kwa ajili ya mwili, kwa tamaa zake.