sw_rom_text_ulb/10/20.txt

1 line
230 B
Plaintext

\v 20 Na Isaya ni jasiri sana na husema, "Nilipatikana na wale ambao hawakunitafuta. Nilionekana kwa wale ambao hawakunihitaji." \v 21 Lakini kwa Israel husema, "Siku zote nilinyoosha mikono yangu kwa wasiotii na kwa watu wagumu."