sw_rom_text_ulb/10/14.txt

1 line
329 B
Plaintext

\v 14 Kwa jinsi gani wanaweza kumwita yeye ambaye hawajamwamini? Na jinsi gani wanaweza kuamini katika yeye ambaye hawajamsikia? Na watasikiaje pasipo muhubiri? \v 15 Na jinsi gani wanaweza kuhubiri, isipokuwa wametumwa? - Kama ilivyoandikwa, "Jinsi gani ni mizuri miguu ya wale ambao wanatangaza habari za furaha za mambo mema!"