sw_rom_text_ulb/10/11.txt

1 line
256 B
Plaintext

\v 11 Kwa kuwa andiko lasema, "Kila amwaminiye hataaibika." \v 12 kwa kuwa hakuna tofauti kati ya Myahudi na Myunani. Kwa kuwa Bwana yule yule ni Bwana wa wote, na ni tajiri kwa wote wamwitao. \v 13 Kwa kuwa kila mtu ambaye huliitia jina la Bwana ataokoka.