sw_rom_text_ulb/10/08.txt

1 line
370 B
Plaintext

\v 8 Lakini inasema nini? "Neno liko karibu na wewe, katika kinywa chako na katika moyo wako." Hilo ni neno la imani, ambalo tunatangaza. \v 9 Kwa kuwa kama kwa kinywa chako unamkiri Yesu ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako kwamba Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokoka. \v 10 Kwa kuwa kwa moyo mtu huamini na kupata haki, na kwa kinywa hukiri na kupata wokovu.