sw_rom_text_ulb/10/06.txt

1 line
234 B
Plaintext

\v 6 Lakini haki ambayo inatokana na imani husema hivi, "Usiseme moyoni mwako, 'Nani atapaa kwenda mbinguni?' (Hii ni kumleta Kristo chini). \v 7 Na usiseme, 'Nani atashuka katika shimo?"' (Hii ni, kumleta Kristo juu kutoka kwa wafu).