sw_rom_text_ulb/10/04.txt

1 line
217 B
Plaintext

\v 4 Kwa kuwa Kristo ndiye utimilifu wa sheria kwa ajili ya haki ya kila mtu aaminiye. \v 5 Kwa kuwa Musa anaandika kuhusu haki ambayo huja kutokana na sheria: "Mtu ambaye hutenda haki ya sheria ataishi kwa haki hii."