sw_rom_text_ulb/04/23.txt

1 line
314 B
Plaintext

\v 23 Sasa haikuandikwa tu kwa faida yake, kwamba, " ilihesabiwa kwake." \v 24 Iliandikwa kwa ajili yetu pia, kwa waliowekewa kuhesabiwa, sisi ambao tunaamini katika yeye aliyemfufua Bwana wetu Yesu kutoka wafu. \v 25 Huyu ni yule ambaye alitolewa kwa ajili ya makosa yetu na kufufuliwa ili tupate kuhesabiwa haki.