sw_rom_text_ulb/04/20.txt

1 line
295 B
Plaintext

\v 20 Lakini kwa sababu ya ahadi ya Mungu, Abrahamu hakusita katika kutokuamini. Bali, alitiwa nguvu katika imani na alimsifu Mungu. \v 21 Alikuwa akijua hakika ya kuwa kile ambacho Mungu ameahidi, alikuwa pia na uwezo wa kukikamilisha. \v 22 Kwa hiyo hii pia, " ilihesabiwa kwake kuwa ni haki."