sw_rom_text_ulb/09/32.txt

1 line
263 B
Plaintext

\v 32 Kwa nini si hivyo? Kwa sababu hawakuitafuta kwa imani, bali kwa matendo. Walijikwaa juu ya jiwe la kujikwaa, \v 33 kama ilivyo kwisha andikwa, "Tazama, nimelaza jiwe la kujikwaa katika Sayuni na mwamba wa kukosa. Yeye ambaye huamini katika hili hataaibika."