sw_rom_text_ulb/09/17.txt

1 line
285 B
Plaintext

\v 17 Kwa kuwa maandiko husema kwa Farao, "Kwa kusudi hili maalumu nilikuinua, ili kwamba nioneshe nguvu zangu katika wewe, na ili kwamba jina langu litangazwe katika nchi yote." \v 18 Hivyo basi, Mungu huwa na rehema kwa yeyote ampendaye, na kwa ambaye humpenda, humfanya kuwa mkaidi.