sw_rom_text_ulb/09/06.txt

1 line
222 B
Plaintext

\v 6 Lakini si kwamba ahadi za Mungu zimeshindwa kutimia. Maana si kila mtu aliye Israeli ni Mwiisraeli halisi. \v 7 Sivyo hata kwa uzao wa Abrahamu kuwa ni watoto wake halisi. Lakini, "ni kupitia Isaka uzao wako utaitwa."