sw_rom_text_ulb/09/01.txt

1 line
184 B
Plaintext

\v 1 Nasema ukweli katika Kristo. Sisemi uongo, na dhamira yangu hushuhudia pamoja nami katika Roho Mtakatifu, \v 2 kwamba kuna huzuni kubwa na maumivu yasiyo koma ndani ya moyo wangu.