sw_rom_text_ulb/01/13.txt

1 line
362 B
Plaintext

\v 13 Sasa ndugu, sitaki mkose kufahamu kwamba, mara nyingi nimekusudia kuja kwenu ( lakini nimezuiliwa mpaka sasa). Nilitaka hivi ili kuwa na matunda kwenu kama ilivyo pia miongoni mwa watu wa mataifa. \v 14 Nadaiwa na Wayunani na wageni pia, werevu na wajinga. \v 15 Kwa hiyo, kwa upande wangu, mimi niko tayari kutangaza injili kwenu pia ninyi mlio huko Roma.