sw_rom_text_ulb/01/04.txt

1 line
289 B
Plaintext

\v 4 Yeye alitangazwa kuwa Mwana wa Mungu kwa nguvu ya Roho ya utakatifu kwa ufufuo wa wafu, Yesu Kristo Bwana wetu. \v 5 Kupitia yeye tumepokea neema na utume kwa utii wa imani kati ya mataifa yote, kwa ajili ya jina lake. \v 6 Kati ya mataifa haya, ninyi pia mmeitwa kuwa wa Yesu Kristo.