Sat Jun 18 2022 15:33:33 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-18 15:33:34 +03:00
parent 80e0cb4294
commit ade11c00d9
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Msidaiwe na mtu kitu chochote, isipokuwa kupendana ninyi kwa ninyi. Kwa kuwa yeye ampendaye jirani yake ametimiliza sheria. \v 9 Kwa kuwa, "Hautazini, hautaua, hautaiba, hautatamani," na kama kuna amri nyingine pia, imejumlishwa katika sentensi hii: "Utampenda jirani yako kama wewe mwenyewe." \v 10 Upendo hamdhuru jirani wa mtu. Kwa hiyo, upendo ni ukamilifu wa sheria.
\v 8 Msidaiwe na mtu kitu chochote, isipokuwa kupendana ninyi kwa ninyi. Kwa kuwa yeye ampendaye jirani yake ametimiliza sheria. \v 9 Kwa amri, "Hautazini, hautaua, hautaiba, hautatamani," na kama kuna amri nyingine pia, imejumlishwa katika sentensi hii: "Utampenda jirani yako kama wewe mwenyewe." \v 10 Upendo hamdhuru jirani wa mtu. Kwa hiyo, upendo ni ukamilifu wa sheria.