Wed Jun 08 2022 17:16:11 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-08 17:16:12 +03:00
parent 12e35d721c
commit 8310526ddb
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 19 Kisha utasema kwangu, "Kwa nini bado anaona kosa? Ni yupi ambaye alikwisha kustahimili matakwa yake?" \v 20 Kinyume chake, mwanadamu, wewe ni nani ujibue kinyume na Mungu? Kuna uwezekano wowote wa kilichofinyangwa kusema kwa mfinyanzi, "Kwanini ulinifanya hivi mimi?" \v 21 Je mfinyazi huwa hana haki juu ya udongo kutengeneza chombo kwa matumizi maalumu kutokana na bonge lile lile, na chombo kingine kwa matumizi ya kila siku?
\v 19 Kisha utasema kwangu, "Kwa nini bado anaona kosa? Ni yupi ambaye alikwisha kustahimili matakwa yake?" \v 20 Kinyume chake, mwanadamu, wewe ni nani ujibue kinyume na Mungu? Kuna uwezekano wowote wa kilichofinyangwa kusema kwa mfinyanzi, "Kwa nini ulinifanya hivi mimi?" \v 21 Je mfinyazi huwa hana haki juu ya udongo kutengeneza chombo kwa matumizi maalumu kutokana na bonge lile lile, na chombo kingine kwa matumizi ya kila siku?