sw_pro_text_reg/01/28.txt

1 line
249 B
Plaintext

\v 28 Halafu wataniita, nami sitawajibu; wataniita katika hali ya kukata tamaa lakini hawataniona. \v 29 Kwa sababu wamechukia maarifa na hawakuchagua kuwa na hofu ya Yehova, \v 30 hawakufuata mafundisho yangu na wakayadharau masahihisho yangu yote.