\v 3 Amewatuma watumishi wake kupeleka mialiko na kutoka mahali pa juu sana kwenye mji anaita: \v 4 "Wale wasiofunzwa waje hapa!" anawaambia wale wasionaufahamu.