\v 1 Hekima amejenga nyumba yake; amechonga nguzo saba kutoka katika miamba. \v 2 Ameandaa wanyama wake kwa chakula cha usiku; ameichanganya divai yake; na kuandaa meza yake.