sw_pro_text_reg/31/01.txt

1 line
231 B
Plaintext

\c 31 \v 1 Maneno ya mfalme Lemueli mausia aliyofundishwa na mama yake. \v 2 Mwanangu nini? Na ni nini mwana wa tumbo langu? Na ni nini mwana wa nadhiri zangu? \v 3 Nguvu zako usiwape wanawake; au wenye kuharibu wafalme njia zako.