\v 28 Shahidi mpotofu huidhihaki haki na kinywa cha waovu humeza uovu. \v 29 Hukumu ipo tayari kwa wenye dhihaka na mjeledi kwa migongo ya wapumbavu.