sw_pro_text_reg/28/15.txt

1 line
205 B
Plaintext

\v 15 Kama simba anayeunguruma au dubu anayeshambulia ni kama mtawala mwovu juu ya watu masikini. \v 16 Mtawala anayekosa ufahamu ni mkandamizaji katili, bali mwenye kuchukia aibu atadumu katika siku zake.